Mwandishi wa Habari wa Star TV Nd,Abdalla Pandu akiuliza suala kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mazungumzo na Wahariri na Waandishi wa Habari na  vya vyombo  vya Serikali na Binafsi leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/2022
Waandishi wa Habari na Wahariri vya vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza nao leo  katika   Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kuhusu masuala mbali mbali ya kuleta maendeleo kwa Taifa letu.[Picha na Ikulu] 05/09/2022
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Zanzibar leo Nd,Ali  Haji Mwadini (kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo  Zanzibar Nd,Hassan Khatib Hassan wakiwa katika mazungumzo ya Wahariri na Waandishi wa Habari wa  vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi chini ya mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/2022.