Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Watayarishaji maarufu wa Filamu wa Korea na Waandaaji wa Filamu wa Tanzania Jijini Seoul Jamhuri ya Korea wakati akiwa kwenye ziara rasmi ya kikazi tarehe 01 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Zawadi ya CD zenye baadhi ya Filamu zilizochezwa na Watayarishaji maarufu wa Jamhuri ya Korea mara baada ya kuzungumza nao Jijini Seoul tarehe 01 Juni, 2024. Mhe. Rais Samia yupo Jamhuri ya Korea kwa ajili ya ziara rasmi ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Waandaaji wa Filamu na Waigizaji wa Tanzania mara baada ya kukutana nao Jijini Seoul tarehe 01 Juni, 2024. Mhe. Rais Samia yupo Jamhuri ya Korea kwa ya ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Watayarishaji maarufu wa Filamu wa Jamhuri ya Korea na Waandaaji wa Filamu wa Tanzania mara baada ya kuzungumza nao Jijini Seoul tarehe 01 Juni, 2024. Mhe. Rais Samia yupo Jamhuri ya Korea kwa ya ziara ya kikazi.