Viongozi mbalimbali wakiwemo, Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu pamoja na Watoa Mada wakiwa kwenye Mkutano wa Faragha uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 02 Machi, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kutoka Zanzibar Mhandisi Zena Said, Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella pamoja na Naibu Mawaziri mara baada ya kufungua Mkutano wa Faragha wa viongozi hao uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 02 Machi, 2023.