Rais Samia Suluhu Hassan awasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) Jijini Dar es Salaam
iongozi mbalimbali pamoja na wadau wa Kilimo wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.

By Jamhuri