Matukio mbalimbali katika picha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi, washiriki na wadau wengine waliyohudhuria Jukwa la Mifumo ya Chakula Afrika linaloendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Septemba 7, 2023.