Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Xia Huang Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Nchi za Maziwa Makuu mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Xia Huang Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Nchi za Maziwa Makuu mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Xia Huang Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Nchi za Maziwa Makuu pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.