Rais Samia amwapisha Mkuu wa Mkoa wa Mara Ikulu Chamwino mkoani Dodoma  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Said Mohamed Mtanda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kumwapisha Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Said Mohamed Mtanda mara baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei, 2023.