Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Senegal Macky Sally pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Adesina Akinumwi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula uliofanyika Dakar nchini Senegal tarehe 25 Januari, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Senegal Mhe. Macky Sally pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Adesina Akinumwi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula uliofanyika Dakar nchini Senegal tarehe 25 Januari, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu wa nchi za Afrika pamoja na Viongozi mbalimbali kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula uliofanyika Dakar nchini Senegal tarehe 25 Januari, 2023

By Jamhuri