Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kaspar Mmuya kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Hashil Twaib Abdallah kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2022.
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Kaspar Mmuya akila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Twaib, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Kaspar Mmuya pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Twaib, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2022. Wengine katika picha ni, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Hussein Kattanga, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng. Hamad Masauni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene