JamhuriComments Off on Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Angelina Lubala Mabula kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Danford George Mpelumbe kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Omar Ali Omar Bhai kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Paul Thomas Kadushi kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Felister Emmanuel Shuli kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Dkt. Alhaji Almas Seleman kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Rifai Abdallah Mkumba kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Kusirie Emmanuel Sinkondo kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Mwanaidi Shomari Mgowa kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Angelina Lubala Mabula Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti wa Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mwenyekiti na Makamishna ya Tume ya Usuluhishi na Uamuzi wakiapa Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na viongozi mbalimbali baada ya tukio la Uapisho katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 02 Novemba, 2026.