“Mtanzania yoyote, awe chama chochote cha siasa. Tunachotofautiana ni mawazo tu na fikra. Mimi sichukulii wapinzani kama maadui, nawachukulia kama watu watakaonionesha changamoto zilipo nizitekeleze ili CCM iimarike,” Rais Samia Suluhu Hassan. Arusha, Machi 5, 2023

Rais Samia pia amekubali mualiko kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Machi 8, 2023

By Jamhuri