Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amembeba mtoto Zaujia Swalehe (1) mara baada ya kuzungumza na Wananchi wa Usa River Mkoani Arusha. Kushoto ni Mama wa Mtoto huyo Bi. Ashura Mohamed Mkazi wa Usa River, Arumeru Mkoani Arusha tarehe 05 Machi, 2023