Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb) kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Balozi Ombeni Yohana Sefue kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Dkt. Balozi Asha-Rose Migiro kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Ami Ramadhani Mpungwe kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Omar Issa kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.

By Jamhuri