Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson akipeana zawadi na Balozi wa Rwanda hapa nchini, Mhe. Fatou Harerimana alipokutana na kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dodoma leo tarehe 01 Novemba, 2023.

By Jamhuri