Aliyepigwa Risasi na Polisi ni Kumbe ni Mwanafunzi wa NIT
Aliuawa baada ya kupigwa risasi kwenye maandamano ya Chadema Dar es Salaam. Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kimesema aliyepigwa risasi jana Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam na kufariki dunia ni mwanafunzi wa chuo hicho. Chuo hicho kimemtaja mwanafunzi huyo kuwa ni Akwilina Akwiline aliyekuwa anasoma shahada ya kwanza ya…