JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: moto

Basi la abiria lateketea kwa moto Kigoma

Basi la Kampuni ya Saratoga lenye namba za usajili T476 ADG lililokuwa likitoka mkoani Kigoma kwenda Sumbawanga limeteketea kwa moto eneo la Kijiji cha Kazuramimba mkoani Kigoma. Jeshi la Polisi kupitia kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, ACP Martin…

Gari Lateketea kwa Moto Daraja la Kigamboni

MOTO umewaka na kuteketeza gari dogo aina ya Toyota Ractics, leo Jumatatu, Julai 2, 2018 katika Daraja la Nyerere (Kigamboni) jijini Dar es Salaam huku mwenye gari akifanikiwa kutoka nje ya gari na kukimbilia sehem salama. Chanzo cha ajali hiyo…

KATIBU UVCCM IRINGA MJINI ANUSURIKA KUFA BAADA KITU CHENYE MLIPUKA KURUSHWA KITANDANI KWAKE

 Baadhi ya vitu vilivyoteketea kufuatia mlipuko huo.  Hivi ndivyo huo mlipuko ulivyoteketeza vitu hivyo KATIBU wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), Alophance Myunga amenusurika kifo baada ya kitu chenye mlipuko kurushwa dirishani kwake na kufikia kitandani…

Kiwanda cha Bora Kimeteketea Kwa Moto Usiku wa Jana

KIWANDA cha kutengeneza viatu cha Bora kinachotengeneza viatu aina ya kandambili kinateketea kwa moto usiku huu chanzo cha moto chake hakijafahamika wala madhara yaliyosababishwa na moto huo. Moto ni mkubwa sana ndani ya kiwanda hicho na kikosi cha zima moto…

Moto Waibuka Jengo la Benki Kuu Mwanza

Moto umezuka katika jengo la Benki Kuu jijini Mwanza leo Alhamisi, Januari 11, 2018 asubuhi. Chanzo cha moto huo kinaelezwa kuwa ni shoti ya umeme. Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi.

Jumba la Trump New York Lawaka Moto

Maafisa wa kuzima moto wameitwa katika jumba la Trump Tower katika kisiwa cha Manhattan jijini New York kuzima moto uliokuwa umezuka kwenye ghorofa ya juu ya jengo hilo. Idara ya kuzima moto ya New York imesema moto huo ulidhibitiwa na…