JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: tanesco

Wananchi Mtwara walia na Tanesco

MTWARA NA CLEMENT MAGEMBE Wananchi wa Mtwara wamelilia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kukatika kwa umeme mkoani humo kuwa unawanyima fursa ya kuendesha shughuli zao za uzalishaji mali na kujikwamua na umaskini. Wakizungumza na JAMHURI mkoani humo mwishoni mwa…

Tanesco-Mbezi `Wanamtafuta’ Makonda

Serikali ya Rais John Magufuli imejidhihirisha kwa umma, kwamba azma yake ni kuhakikisha wananchi wanyonge wanapata huduma wanazozistahili bila ukiritimba. Kutokana na dhana hiyo, Mpita Njia anaamini kuwa raia hawapaswi kuombwa rushwa, ‘kuzungushwa’, kunyanyaswa ama kufanyiwa kitendo chochote kinachokiuka haki…

MAJALIWA: NISHATI JIRIDHISHENI NA UBORA WA VIFAA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Nishati ijiridhishe na ubora wa vifaa vinavyotumiwa na wakandarasi katika miradi ya umeme. Pia iwasimamie wakandarasi hao kwa ukaribu ili kuhakikisha thamani ya miradi inayotekelezwa inalingana na kiasi cha fedha wanacholipwa wakandarasi hao. Ametoa…

Serikali Yawatoa Hofu Wananchi Kuhusu Tatizo la Umeme

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abass. Serikali imewatoa hofu Watanzania kuhusu tatizo la umeme na utekelezaji wa mradi wa treni ya umeme nchini ambao ujenzi wake unaendelea. Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo…

NUNUA LUKU KWA NJIA ULIYOZOEA BAADA YA MAREKEBISHO SASA MAMBO POA

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) Tunawataarifu Wateja wetu kuwa, hivi sasa mifumo ya LUKU inapatikana katika njia zote za manunuzi. Wateja mnaweza kufanya manunuzi kwa kutumia njia zote. Asanteni kwa ushirikiano wenu. Tovuti: www.tanesco.co.tz Mitandao ya Kijamii www.facebook/tanescoyetultd twitter.com/tanescoyetu Imetolewa…