JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: Ukimwi

GGM na TACAIDS kuzindua Kilimanjaro Challenge 2018

  Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto)  akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa zoezi la upandaji wa Mlima Kilimanjaro  (Kilimanjaro Challenge 2018), litakalo kwenda sambamba na kuendesha harambee kuchangisha fedha  kwa mwaka 2018…

Dalili Hizi Zinaashiria Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI

Watu wengi wamekuwa ni waoga sana wa kupata vipimo vya ugonjwa kutokana na madhara ya kisaikolojia yanayojitokeza baada ya kujua kuhusu ugonjwa, wengi huamua kubaki kwenye hali ya sintofahamu. Kupitia dalili zifuatazo unaweza kupata mwanga kama umeambukizwa virusi vinvyosababisha ugonjwa…