Ufunguzi jengo la Mahakama Namtumbo

Mtendaji Mkuu wa Mahakama nchini Profesa Elisante Ole Gabriel kulia,akitoa maelezo ya ujenzi wa jengo la  jengo la mahakama ya Wilaya ya Namtumbo kwa Jaji kiongozi wa Tanzania Mustapha Siyani wa pili kulia wakati wa ufunguzi wa mahakama ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma,wa tatu kulia Jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Songea Yose Mlyambina na wa pili kushoto Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Vita Kawawa.
Jaji kiongiozi wa mahakama kuu  Tanzania Mustapha Siyani  wa kwanza kushoto aimsikiliza Hakimu mkazi mfawidhi wa Mahakama ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Gloria Lwomile baada ya kufungua rasmi wa jengo la mahakama ya wilaya Namtumbo,wa pili kushoto Jaji mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya songea  Yose Mlyambile.
Baadhi ya Mahakimu wa Mahakama za wilaya mkoa wa Ruvuma wakimsikiliza Jaji Kiongozi wa Mahakama kuu ya Tanzania Mustapha Siyani(hayupo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo la mahakama ya wilaya Namtumbo mkoani Ruvuma.
Baadhi ya viongozi wa serikali mkoa wa Ruvuma wakimsikiliza Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mustapha Siyani(hayupo pichani)wakati ya ufunguzi wa  jengo la Mahakama ya wilaya Namtumbo mkoani humo.