JamhuriComments Off on Waziri Mkuu akutana na wamiliki wa mabasi nchini
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA). Kikao hicho kimefanyika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam leo Septemba 18, 2026.