Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe, Novemba 23, 2023. Wa tatu kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel.

Waziri Mkuu pamoja na viongozi wakipiga makofi baada ya Waziri Mkuu kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt. Francis Michael baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe, Novemba 23, 2023. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua chumba cha maabara ya Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe, Novemba 23, 2023. (Picha na Oisi ya Waziri Mkuu)