Home Kimataifa BREAKING: George Weah Ashinda Kiti cha Urais

BREAKING: George Weah Ashinda Kiti cha Urais

by Jamhuri

Mwanasoka bora wa Dunia mwaka 1996, George Weah ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais nchini Liberia baada ya kukamilika kwa duru ya pili ya uchaguzi.

You may also like