Na Zulfa Mfinanga,
Dodoma

Licha ya kuwepo kwa Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchin
haina mfumo wa dharura wa uokoaji katika ajali za barabarani.
Sheria ya Zimamoto na Uokoaji Cap 427 ya mwaka 2008, Kifungu c
cha (1) cha sheria hiyo kimeeleza majukumu ya jumla ya jeshi hilo
kupunguza idadi ya vifo, kupunguza na kuzuia madhara kwa binada
uharibifu wa mali ambayo yanatokana na moto, mafuriko, tetemeko
barabarani pamoja na majanga mengine.
Katika Kifungu cha 8, Kipengele (e) kinaendelea kuelezea kuwa Kik
Uokoaji kinatakiwa kuweka hatua madhubuti ili kuzuia au kupunguz
wa mali kwa kutumia mbinu zilizoanishwa ndani ya sheria hiyo.
Pamoja na ufanunuzi huo wa kisheria, lakini jeshi hilo linaonekana
masuala ya zimamoto kuliko uokoaji, hususan ajali za barabarani, k
kuripotiwa kwa ajali za barabarani maeneo mbalimbali nchini zinazo
watu, majeruhi, upotevu na uharibifu wa mali bila kuwepo msaada w
Vilevile kumeendelea kuripotiwa kukosekana msaada wa haraka wa
barabarani kutokana na kukosa mfumo maalumu wa barabara kam
dharura pindi ikitokea ajali ili iwe rahisi kwa wataalamu wa uokoaji k
wakati kwa ajili ya kutoa huduma ya kwanza.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linapaswa kuwa na vituo maalumu vy
barabara kuu ikiwemo hata baadhi ya maeneo ya barabara kuu. Kw
serikali itakuwa imesaidia kupunguza madhara yatokanayo na ajali
Inaelezwa kuwa mwaka 2015 watu 3,057 walipoteza maisha katika
ambapo idadi hiyo imepungua hadi kufikia watu 2,974 huku watu 1, mwaka 2016 baada ya kuweka vituo 17 vya ukoaji katika maeneo a
mara kwa mara.
Kwa mujibu wa mtandao huo, uwepo wa vituo hivyo unatokana na a
wanaopoteza maisha katika ajali za barabarani kusababishwa na u
kwanza za uokoaji pamoja na huduma duni za uokoaji.

Taarifa kutoka Jeshi la Polisi zinasema kuwa ajali zimepungua kufi
mwaka 2016 na mwaka 2017, lakini kwa mujibu wa Shirika la Afya
Tanzania inatajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa ida
barabarani kwa kushika nafasi ya pili kati ya nchi sita zilizopo ukand
Mara kadhaa Jeshi la Zimamoto limenukuliwa likilalamika kukabiliw
ufinyu wa bajeti na vitendea kazi huku likikiri kuwa limekuwa likipok
wananchi kutokana na utendaji kazi wao usioridhisha.
Akizungumza katika kikao cha kazi cha makamanda wa Zimamoto
Dodoma hivi karibuni, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Andengenye, amesema jeshi hilo linakabiliwa na changamoto mbal
pamoja na vitendea kazi.
Kulingana na taarifa hiyo, ni wazi kuwa changamoto zinazolikabili je
sababu zinazosababisha kushindwa kufanya kazi za uokoaji kama
hivyo serikali haina budi kuliangalia suala hilo kwa makini ili kupung
yatokanayo na ajali za barabarani.
Kamishna Andengenye amekiri jeshi hilo kupokea lawama nyingi ku
kutokana na kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo, huku p
bajeti ni changamoto kubwa katika jeshi hilo.
Amesema kwa sasa kuna vituo vya zimamoto na uokoaji 83 nchi nz
kuwa na vituo hadi ngazi ya wilaya, pamoja na magari 53, huku ma
magari 100, ambapo kila mkoa unatakiwa kuwa na magari mawili y
moja na uokoaji.
“Pamoja na changamoto hizo, lakini pia jeshi hili lina uhaba wa wat
2,210, hii inapunguza nguvu kazi katika utekelezaji wa majukumu, l
Waziri wa Mambo ya Ndani ameahidi kutupatia kibali cha kuajiri wa
amesema Kamishna Andengenye.
Mwaka 2015 Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitangaza ajali za bara
afya la kimataifa huku likisema kuwa asilimia tatu ya pato la taifa ka
duniani huaribiwa na ajali za barabarani.

Mwisho

Please follow and like us:
Pin Share