Category: Kimataifa
Kagame azilaani nchi zinazoiwekea Rwanda
Rais wa Rwanda Paul Kagame amezilaani nchi zinazoiwekea nchi yake vikwazo. Baadhi ya mataifa yameiwekea Kigali vikwazo kuhusu kuhusika kwake katika mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Akihutubia kwenye tukio la kuashiria mwanzo wa mfululizo wa shughuli…
Ukraine na Marekani hatimaye kusaini mkataba wa madini
Timu ya wapatanishi wa Ukraine itasafiri kwenda Marekani wiki hii, wakitarajia kusaini mkataba wa madini ambao umekwama kwa wiki kadhaa. Washington pia inataka haki za kuchimba madini nchini Ukraine kwa kubadilishana na misaada inayoipa nchi hiyo. Mkataba huo ulitarajiwa kutiwa…
Trump atangaza mazungumzo ya nyuklia na Iran
Rais Donald Trump amesema Marekani itaanzisha mazungumzo, ya ngazi ya juu na Iran kuhusu mpango wake wa nyuklia siku ya Jumamosi. Alitoa tangazo hilo la kushangaza alipokutana na Netanyahu katika Ikulu ya White House. Rais huyo wa Marekani alisema ana…
Israel yaendeleza mashambulizi Ukanda wa Gaza
Mashambulio ya Israel yasababisha mauaji ya watu wawili akiwemo muandishi habari na kuwajeruhi wengine tisa, Ukanda wa Gaza. Israel imeshambulia mahema yanayotumiwa kama makaazi na Wapalestina katika Ukanda wa Gaza ,nje ya hospitali mbili kubwa kwenye Ukanda huo na kuua…
Wapalestina waliouawa Gaza wafikia 50,700
Watu wasiopungua 15 ikiwemo mwandishi habari mmoja wameuawa leo kwenye Ukanda wa Gaza kutokana na mashambulizi ya vikosi vya Israel na kufanya idadi ya Wapalestina waliouawa tangu Oktoba 2023 kupindukia 50,000. Taarifa kutoka Ukanda wa Gaza zinasema vikosi vya Israel…
Mvua kubwa yauwa zaidi ya watu 30 Kinshasa
MVUA kubwa iliyonyesha kwenye mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa imewauwa karibu watu 30 na kusababisha kuharibu mkubwa katika mji huo mkubwa. Watu wengine wamejeruhiwa vibaya na kuhamishiwa kwingine. Waziri wa Afya ya umma wa moa wa…