Uislamu unahimiza kufanya kazi, unapinga ukupe

Anuani ya makala yetu leo inatudai fasili ya maneno mawili ya Kiswahili: Kazi na Ukupe. Kazi kwa fasili inayozingatia sheria ni “shughuli yoyote halali inayompatia mtu kipato au masilahi fulani halali yaliyokubaliwa,” wakati kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu (Toleo la Pili) iliyotolewa na Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili – TUKI (sasa Taasisi ya…

Read More

Kimewaka CCM

*Mtandao wa ‘mwendazake’ watajwa kumchimba Rais Samia kuelekea 2025 *Ulikusanya mamilioni wakati wa uchaguzi kutoka kwa wagombea ubunge, udiwani *Mfanyabiashara tajiri Kanda ya Ziwa atajwa kushikilia fuko la fedha zilizokusanywa *Mamluki waliounga mkono kushughulikiwa, watajwa kubadilika kulinda masilahi NA MWANDISHI WETU DODOMA Kuna fukuto kubwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa sasa kutokana na…

Read More

Waziri Kalemani atumia kivuli cha ‘maagizo kutoka juu’

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nishati, Medard Kalemani, ametajwa kutumia lugha ya kwamba kuna “maagizo kutoka juu” mara nyingi anapowapa maelekezo watendaji wa wizara yake kuhakikisha mambo yanapitishwa haraka, JAMHURI limeambiwa. JAMHURI limeelezwa kuwa kama si Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Injinia Leonard Masanja, kukataa “kutii maagizo kutoka juu” Kanuni mpya za uagizaji mafuta…

Read More

Sekretarieti yavujisha mitihani ajira za TRA

DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Mitihani na majibu ya usaili wa walioomba ajira zilizotangazwa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) kwa ajili ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) vimevuja, JAMHURI linathibitisha. PSRS walitangaza ajira hizo Juni Mosi, mwaka huu kupitia tangazo lenye kumbukumbu Na. EA.7/96/01/L/126 ambalo linapatikana katika tovuti yake yawww.ajira.go.tz. Ajira…

Read More

S2Kizzy: Master J, sisi si chawa

DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Kauli iliyotolewa hivi karibuni na mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Joachim Kimaryo, maarufu kama Master J, imemuibua mtayarishaji ‘chipukizi’, S2Kizzy, akisema siku hizi mambo yamebadilika. Hivi karibuni, Master J amekaririwa akisema watayarishaji wa muziki wa siku hizi ni chawa wa wasanii maarufu wa muziki. Kauli hiyo inadaiwa kumlenga S2Kizzy…

Read More