page za ndani

Wanafunzi 12 watiwa mimba

MWANZA NA MWANDISHI WETU Wanafunzi 12 wa Shule ya Sekondari ya Igokelo, Misungwi, mkoani Mwanza wametiwa mimba ndani ya kipindi cha miezi minane ya mwaka huu. Wanafunzi hao ambao wako chini ya miaka 18 wameacha masomo. Pamoja nao, wanafunzi wengine wameacha masomo baada ya kuolewa. Januari hadi Juni, mwaka huu wanafunzi watano walibainika kuwa na ujauzito na wengine saba walibainika ...

Read More »

Nukuu: Tusivunje mlango

Nyerere: Tusivunje mlango “Ikiwa mlango umefungwa, basi yafanywe majaribio ya kuufungua; umeegeshwa, (basi) usukumwe hadi ufunguke. Katika hali yoyote, gharama ya waliyomo ndani.” Haya ni maneno ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoyatoa Toronto, Canada, Oktoba 2, mwaka 1969. Obama: Bajeti si namba “Bajeti ni zaidi ya orodha ya namba kwenye ukurusa; ni umwilisho w Haya ni maneno ya Rais wa ...

Read More »

Jamani, walimu wanateseka!

Mwaka jana niliwaalika baadhi ya walimu wangu wapendwa walionifundisha shule ya msingi. Miongoni mwao alikuwamo aliyenifundisha darasa la kwanza. Sina maneno mazuri ya kueleza furaha niliyokuwa nayo, na zaidi ya yote, waliyokuwa nayo walimu wangu. Pamoja nao, niliwaita baadhi ya wanafunzi wenzangu tuliosoma pamoja. Lilikuwa tukio lililotutoa machozi ya furaha baadhi yetu tuliofundishwa na walimu hao miaka mingi iliyopita. Nilifanya ...

Read More »

‘Mwizi’ wa magari Moshi apelekwa Kenya

Na Charles Ndagulla, Moshi Mfanyabiashara Bosco Kyara na mwenzake Gabriel Mombuli, wanaotuhumiwa kujihusisha na mtandao wa wizi wa magari katika nchi za Kenya na Tanzania wamesafirishwa kwenda nchini Kenya kujibu mashtaka ya wizi wa gari. Kyara ni mkazi wa Makuyuni katika Mji Mdogo wa Himo, Wilaya ya Moshi Vijijini, wakati Mombuli ambaye anafanya shughuli za udereva, anaishi eneo la Majengo ...

Read More »

Hukumu kesi ya MV Bukoba na mafunzo kwetu leo tunapoombolez

Na Bashir Yakub (A) NAMBA YA KESI Kesi ya Jinai Na. 22/1998, Mahakama Kuu Mwanza, mbele ya Jaji (B) WASHTAKIWA 1. Kapteni Jumanne Rume Mwiru. Huyu ndiye alikuwa akiendesha kutoka Bukoba kupitia Kemondo Bay hadi Mwanza. 2. Gilbert Mokiwa. Huyu alikuwa mkaguzi wa meli, na ndiye kuikagua MV Bukoba. 3. Alphonce Sambo. Huyu alikuwa Ofisa wa Bandari ya Bukob safari ...

Read More »

Hati za makazi ‘kasheshe’ Temeke

Na Alex Kazenga, Dar es Salaam Maofisa Ardhi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wanatuhumiwa na wananchi wa Kata ya Yombo – Makangarawe kwa kuendesha zoezi la utoaji wa hati za viwanja kwa njia za rushwa. Tuhuma hizo zinatokana na ofisi hiyo kudaiwa kuwatoza wananchi Sh 50,000 za kufuta hati za makazi bila kuwapa risiti wanapofika ofisini kufuatilia ...

Read More »

Wizi wa kutisha

Mtandao wa utapeli unaowahusisha wafanyabiashara na watendaji wakuu wa baadhi ya taasisi za serikali umebainika kuwapo kwenye biashara ya usafirishaji wa magari nje ya nchi (IT). Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI kwa miezi mitatu umebaini mtandao huo unaowahusisha baadhi ya watendaji waandamizi katika Bandari ya Dar es Salaam, Wakala wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) na kampuni za bima. ...

Read More »

Waandishi wa habari washinda kesi

MWANZA NA MWANDISHI WETU   Mahakama ya Mkoa wa Mwanza imetupilia mbali kesi dhidi ya waandishi wa habari, Christopher Gamaina (Gazeti la Raia Mwema) na George Ramadhani (kujitegemea) waliotuhumiwa kujifanya maofisa wa Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu katika Nchi za Ukanda wa Joto (TPRI). Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Bahati Chitepo, amewaachia huru wanahabari hao mwishoni mwa wiki iliyopita, akisema ...

Read More »

Asante Mahakama Mkoa wa Mwanza

Miongoni mwa habari tulizozipa kipaumbele kwenye toleo hili ni ile inayohusu uamuzi wa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza kutupilia mbali kesi dhidi ya waandishi wa habari wawili waliobambikiwa kesi. Waandishi hao walishitakiwa kwa kile kinachodaiwa kwamba walijifanya ni maofisa wa Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu katika Nchi za Ukanda wa Joto (TPRI). Hakimu Bahati Chitepo amesema mamlaka zinazohusika, yaani TPRI ...

Read More »

Vyombo vya habari ni chuo cha maarifa

Vyombo vya habari (mass media) ni njia ya mawasiliano kati ya mtu na mtu, katika kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana. Iwe wakati wa kazi, mapumziko au starehe. Ni njia ya kufikia kupata maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika taifa lolote duniani. Kila chombo (medium) kinafanya kazi kwa maadili ya kazi, kanuni na weledi. Kushirikiana na kingine katika kupokea na kutoa taarifa ...

Read More »

Korea Kaskazini yagoma kuharibu silaha

New York, Marekani Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini, Ri Yong-ho, ameonya kuwa hakuna namna ambayo nchi yake itaharibu zana za nyuklia wakati Marekani bado inaendelea kuiwekea vikwazo. Ri Yong-ho aliuambia mkutano wa Umoja wa Mataifa unaoendelea jijini New York, Marekani kwamba vikwazo hivyo vinapunguza imani kwa Marekani. Hivi karibuni Korea Kaskazini imerejea wito wake wa kuitaka Marekani ...

Read More »

JPM amfuta machozi Mfugale

Ifuatayo ni sehemu ya hotuba ya Rais John Magufuli wakati wa uzinduzi wa Mfugale Flyover, Tazara jijini Dar es Salaam uliofanyika Septemba 27, 2018. Pamoja na mambo mengine, Rais Magufuli alieleza kwanini ametaka daraja hilo lipewe jina la Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Patrick Mfugale… …Lakini napenda tu kuwapongeza pia Wizara ya Ujenzi pamoja na TANROADS, pamoja na consultant ambao ...

Read More »

Hongera Serikali kuzibana NGOs

NA ANGELA KIWIA Serikali imetoa maagizo kwa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na kuyataka kuyatekeleza ndani ya mwezi mmoja. Napenda kuipongeza serikali kwa hatua hii muhimu. Natambua wapo baadhi ya ndugu zetu hawatafurahia hatua hii ya serikali kuzibana NGOs, kwa kuwa walikuwa wanufaika wakubwa wa mashirika hayo kwa kuyatumia isivyo. Baadhi ya mashirika hayo yamekuwa yakijihusisha na uhamasishaji wa vitendo ...

Read More »

Tetemeko laacha maafa Indonesia

Jakarta, Indonesia Watu zaidi ya 380 wamethibitishwa kufa baada ya tsunami kusababisha tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richter 7.5, lililopiga mji wa Jakarta mwishoni mwa wiki. Upepo mkali ulivuma kutoka Palu katika Kisiwa cha Sulewesi kwa mita tatu. Video inayoonekana kwenye mitandao ya kijamii inaonyesha jinsi watu walivyokuwa wakipiga kelele huku wakikimbia kwa hofu. Baada ya mshtuko wa tetemeko ...

Read More »

Badilika ili uwabadili wengine

Mabadiliko hayazuiliki. Kubadilika kwa ajili ya yaliyo bora ni ajira ya wakati wote. Adlai E. Stevenson II Mabadiliko ni kanuni ya maisha na uumbaji. Hebu fikiri na uwaze. Ulipokuwa na umri wa miaka mitatu, ulikuwa wewe? Bila shaka ulikuwa ni wewe. Lakini sasa umebadilika, lakini bado ni wewe. Je, ulipokuwa na umri wa wiki moja, ulikuwa wewe? Ndiyo, ulikuwa ni ...

Read More »

Mbilia Bel astaafu muziki

NA MOSHY KIYUNGI Tabora Mwimbaji mkongwe wa muziki wa Kilingala na Kifaransa, Mbilia Bel, amestaafu rasmi muziki Januari mwaka jana. Mwana mama huyo mapema Januari 2017, alitangaza kustaafu kwake wakati akisherehekea miaka 40 kwenye muziki, pia siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 58. Mbilia mwenye umri wa miaka 59, alianza kujiingiza kwenye kazi ya muziki akiwa na umri wa ...

Read More »

Idadi ya wazee kuongezeka

ARUSHA NA MWANDISHI WETU Idadi ya wazee nchini Tanzania inakadiriwa kuwa asilimia 11 ya watu wote ifikapo mwaka 2050. Hali hiyo inasababishwa na ongezeko la idadi ya watu na kuboreshwa kwa huduma za afya nchini. Mratibu wa Huduma za Afya kwa Wazee kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Edward Mung’ong’o, ametoa taarifa hiyo alipowasilisha ...

Read More »

Mfugale Flyover ni ukombozi

Balile

Na Deodatus Balile Kwa muda mrefu ninapokuwa safarini huangalia jambo la kurejea nalo nyumbani. Nimesafiri nchi kadhaa duniani, hivyo nashukuru Mungu kuwa kusafiri huko kumeniongezea uelewa. Katika nchi nyingi, iwe zilizoendelea au zinazoendelea, zimeweka mtazamo na msisitizo mpya katika miundombinu. Nchi nyingi zimebaini kuwa maendeleo ya kweli yanatokana na urahisi wa mawasiliano (Teknohama), miundombinu – barabara, reli, magati ya majini, ...

Read More »

Hujuma zatawala UDART, wakamatana

Na Mwandishi Wetu Polisi wanawashikilia wafanyakazi 22 wa Kampuni ya UDA Rapid T inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Simon Group, Simon Kisena, JAMH Wafanyakazi hao wakiwamo wasaidizi wa karibu wa Kisena wanata mbadala wa kuuza tiketi za mabasi ya mwendokasi unaoipotezea m UDART. “Wengi wameanza kukamatwa kama wiki mbili zilizopita. Uongozi w ukaguzi wa ghafla katika Kituo cha Kimara na kubaini ...

Read More »

Korosho bado ni ‘umiza kichwa’! (2)

Sehemu iliyopita, mwandishi alieleza namna suala la korosho lilivyoibua mjadala miaka iliyopita. Sehemu hii ya pili anaanza kueleza namna baadhi ya magazeti yalivyoripoti habari za korosho miaka ya 2000; na makala aliyoiandika wakati huo kuelezea historia ya zao hilo. Endelea… “Bei ya korosho inashushwa kwa njama” (Uhuru Jumatatu 25 Desemba, 2000 uk. 6), “Cashewnut Industry in Crisis” (Business Times, Friday ...

Read More »

Ndugu Rais tunashangilia ushindi kwa u-vuvuzela wetu

Ndugu Rais tumwombe Mwenyezi Mungu asikae mbali na sisi maskini wake, bali atukaribie! Mavuvuzela yamesimama mbele yetu, ona wanayotufanyia. Muumba usifiche uso wako wakati wa taabu zetu; wakati tunapolia sana! Sikia maombi ya watoto wako ushuke, tunaangamia. Shuka utusaidie. Tunapotafakari uwezo wako Mungu, wewe ni baba yetu na una kila kitu! Ni nani asiyejua heshima yako na uwezo wako jinsi ...

Read More »

Rais mteule akwama uwanja wa ndege

*Ikulu kugeuzwa jumba la utamaduni New Mexico, Mexico Rais mteule wa Mexico, López Obrador, uamuzi wake wa kutumia usafiri wa ndege wa umma wiki iliyopita ulimtumbukia nyongo baada ya kukwama ndani ya ndege uwanjani kwa saa tatu kutokana na hali ya hewa. Amesema licha ya kukumbwa na tukio hilo, msimamo wake wa kuuza ndege ya kifahari iliyonunuliwa na rais anayemwachia ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons