Biashara

NMB yakabidhi gawio la Shilingi Bilioni 10 kwa serikali

Dodoma. Benki ya NMB jana ilikabidhi gawio la Shilingi Bilioni 10.17 kwa serikali kutokana na faida iliyopatikana mwaka 2017. Pesa hizo ni sehemu ya jumla ya Shilingi Bilioni 32 ambazo ziliidhinishwa na mkutano mkuu wa mwaka wa wanahisa wa Benki ya NMB uliofanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo, wanahisa waliidhinisha kutolewa kwa gawio la jumla ya ...

Read More »

AZANIA BANK YAWAKUTANISHA WAFANYABIASHARA DAR ES SALAAM

Maofisa wa Benki ya Azania wakiwa wamepozi kwa picha kabla ya kuanza kwa mkutano uliondaliwa na TCCIA kwa ajili ya wafanyabiashara kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji.  Mkutano huo ulidhaminiwa na benki hiyo.  Washiriki wa mkutano wakijadiliana jambo.  Wadu wa sekta ya biashara wakiwa katika mkutano huo.  Wadau.  Mkurugenzi Mkuu wa EAG Group Ltd, Imani Kajula (kushoto), akimkaribisha Ali Mfuluki katika ...

Read More »

WAKULIMA 2000 WAONGEZA KIPATO KWA UJENZI WA DARAJA LA MIVARF

Wakulima 2000 kutoka vijiji sita vya, Kata ya Kiru Wilayani Babati wameongeza kipato kutokana na ujenzi wa daraja lililojengwa na Mradi wa Miundombinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za kifedha Vijijini (MIVARF), ikiwa ni sehemu ya malengo ya mradi huo katika kuongeza kipato nchini hususan maeneo ya vijijini. Wakulima hao wa Kata ya Kiru, inayojumuisha kaya 306, walishindwa kuongeza ...

Read More »

JUKWAA LA WANAWAKE SOMANGILA, KIGAMBONI, LAZINDULIWA

Wanawake wajasiariliamali wametakiwa kutengeneza au kuuza bidhaa zenya ubora wa viwango vinavokubalika ili kuvutia wateja kununua bidhaa zao na kuongeza masoko ndani na nje ya Nchi.   Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Jukwaa la Wanawake Kata ya Somangila, Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Katika uzinduzi huo uliofanyika Uwanja wa ...

Read More »

Benki ya NMB yazindua tawi jipya Kigamboni

Mkurungezi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akizungumza kwenye hafla  ya uzinduzi huo. Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa (wa tatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi jipya la Benki ya NMB Wilaya ya Kigamboni. Wengine ni viongozi waandamizi wa Benki hiyo na Mkurungezi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (wa pili kulia). Mkuu ...

Read More »

UZINDUA WA MUONEKANO MPYA WA GAZETI LA UHURU

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Idara ya Itikadi na Uendezi Humphrey Polepole (wapili kushoto) akifurahia nakala ya gazeti la Uhuru baada ya kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo katika hafla iliyofanyika kwenye Ofisi za Uhuru Publications Limited UPL), mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Said Nguba aliyewahi kuwa Mhariri Mtendaji wa UPL, na Wengine ...

Read More »

POLISI DAR WAKAMATA BUNDUKI AINA YA AK 47

JESHI la Polisi kanda Maalumya Dar es Salaam limekamata silaha mbalimbali zikiwemo bunduki, bastola na vifaa vingine vya kufanyia matukio ya uhalifu pamoja na watuhumiwa mbalimbali wa makosa ya uhalifu ambao walikuwa wakijiandaa kutekeleleza matukio hayo.   Akizungumza na wanahabari ofisini kwake leo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa amesema jeshi hilo limekamata silaha aina ya AK ...

Read More »

TPA Yanasa Mtandao Wizi wa Mafuta

Serikali wilayani Kigamboni na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) wanasema wamepata taarifa za kuwapo watu wengine wanaoiba mafuta kutoka kwenye bomba kuu katika Bandari ya Dar es Salaam. Hatua hii imekuja baada ya kukamatwa kwa watu watano ambao ni mmiliki wa nyumba na wapangaji wanne katika eneo la Tungi wilayani humo, wakiwa wameunga mabomba kutoka kwenye bomba kuu ...

Read More »

MAJALIWA: NISHATI JIRIDHISHENI NA UBORA WA VIFAA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Nishati ijiridhishe na ubora wa vifaa vinavyotumiwa na wakandarasi katika miradi ya umeme. Pia iwasimamie wakandarasi hao kwa ukaribu ili kuhakikisha thamani ya miradi inayotekelezwa inalingana na kiasi cha fedha wanacholipwa wakandarasi hao. Ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Januari 13, 2018) wakati akizungumza katika kikao cha maendeleo ya usambazaji umeme kilichofanyika , Ofisini kwake, Dodoma. Waziri ...

Read More »

WAZIRI JAFO: WATAALAMU WA MAJI ZAIDI YA ELFU NNE WANAHITAJIKA TAMISEMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Selemani Jafo(Katikati) akiwasili kwenye Chuo cha Maji tayari kwa kutunuku Shahada na Stashahada katika mahafali ya Tisa ya Chuo hicho. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Selemani Jafo(Katikati) akishiriki kwenye maandamano ya Kitaaluma kuelekea uwanja wa Sherehe Mahafali ...

Read More »

WAZIRI MKUU: TUMIENI TAMASHA LA BIASHARA KUKUZA BIASHARA YA UTALII

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko ya Zanzibar kuhakikisha inatumia Tamashara la Biashara la Zanzibar kama chachu ya kukuza biashara ya Utalii kama ilivyo kwa Dubai Shooping Festival na matamasha mengine Duniani. “Natambua kwamba kazi ya kulipandisha hadhi zaidi tamasha letu hili si ndogo , hata hivyo ninayo imani kubwa kwamba  si tu uwezo wa ...

Read More »

Viwanda 5 vya Samaki Vilivyokamatwa na Samaki Wasioruhusiwa Mwanza Hiv Hapa

Meneja uchakataji wa Kiwanda cha kuchakata samaki Victoria cha jijini Mwanza, Endwin Okwong’o (aliyeshika kofia) akimuelezea Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina (mwenye miwani), namna ambavyo wanapokea samaki kutoka kwa mawakala na kuwachambua kabla ya hatua ya kuchakata kiwandani hapo kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uvuvi, Dkt. Yohana Budeba Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga ...

Read More »

RUGEMARILA AWATAJA “WEZI” WA ESCROW

MFANYABIASHARA, James Rugemalira anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha amewataja aliodai ni wezi wa fedha za Escrow katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kama alivyosema awali kwamba anawafahamu. Watu hao amewataja mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba,  baada ya Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Ruswa (Takukuru), Leonard Swai,  kueleza kwamba upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika. ...

Read More »

RUGEMALIRA AWATAJA ‘WEZI’ WA ESCROW MAHAKAMANI

MFANYABIASHARA, James Rugemalira anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha amewataja aliodai ni wezi wa fedha za Escrow katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kama alivyosema awali kwamba anawafahamu. Watu hao amewataja mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba,  baada ya Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Ruswa (Takukuru), Leonard Swai,  kueleza kwamba upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika. ...

Read More »

BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU YATANGAZA MSAKO KWA WADAIWA SUGU

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) imesema kuanzia Jumatatu ijayo, Januari 8, 2017 itaanza kukagua taarifa za mishahara za waajiri (payroll) ili kubaini waajiri ambao wanawasilisha kiwango kidogo cha mikopo ya wafanyakazi wao ambao ni wanufaika wa mikopo hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo, Abdul-Razaq Badru amesema wanufaika wengi wa mikopo, wakiwemo wadaiwa sugu, wameonesha ushirikiano ...

Read More »

MFANYABIASHARA AJENGA ZAHANATI YENYE VIFAA VYA KISASA NA KUIKABIDHI SERIKALINI

MFANYABIASHARA na mzaliwa wa Kijiji cha Uchau Kaskazini wilaya ya Moshi Vijijini, Emmanuel Mallya, ameikabidhi serikali zahanati ikiwa na vifaa vya kisasa vikiwamo vitanda vya wagonjwa vinavyotumia nishati ya umeme. Zahanati hiyo inayojukana kwa jina la EB zahanati, imejengwa na mfanyabiashara huyo kwa kutumia nguvu zake mwenyewe bila kuhusisha msaada kutoka Halmashauri ya wilaya ya Moshi wala serikali kuu. Akizungumza katika ...

Read More »

TCRA YASHUSHA RUNGU KWA VITUO 5 VYA RUNINGA HAPA NCHINI

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA, imevipiga faini ya shilingi milioni 60 vituo vitano vya Runinga kwa kurusha taarifa ambazo zinakinzana na kanuni za utangazaji kwa kurusha habari ambayo inasadikiwa kuwa na viashiria vya uchochezi. Vituo vilivyokutana na rungu hilo ni ITV, EATV, CHANNEL TEN, AZAM TWO na STAR TV. Mwenyekiti wa kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Joseph ...

Read More »

Bomu la Airtel, Vigogo Hawa Wamekalia Kuti Kavu

Moto aliouwasha Rais John Magufuli wiki iliyopita kwa kutaka ufanyike uchunguzi wa kina juu ya umiliki halisi wa kampuni ya Airtel umegeuka bomu linaloelekea kuwalipukia vigogo wanaoheshimika kwa kiasi kikubwa hapa nchini, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Tayari Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Wizara ya Fedha, Msajili wa Hazina na vyombo vingine vimeunda timu maalum kuchunguza mchakato, waliokuwa ...

Read More »

SERIKALI YAFAFANUA KUHUSU CHANELI ZA BURE PINDI WANANCHI WANAPOISHIA NA VIFURUSHI

Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara kwa wananchi kuhusu kukosa huduma ya runinga za bure pindi vifurushi katika visimbusi (ving’amuzi) vyao vinapomalizika, serikali imetolea ufafanuzi suala hilo kwa kueleza namna mfumo wa utendaji unavyotakiwa kufanya kazi. Akijibu maswali ya watumiaji mbalimbali wa mtandao wa Twitter kuhusu urushwaji wa runinga za bure, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Abbas alisema, kwa ...

Read More »

Waziri Mkuu Majaliwa Avunja Mfuko wa Kuendeleza Pamba

amegiza wahusika wote wachunguzwe ili kubaini fedha walizokusanya zimetumikaje. Alitoa agizo hilo mwishoni mwa wiki (Ijumaa, Desemba 22, 2017) wakati akizungumza na wadau wa zao hilo kwenye kikao alichokiitisha mkoani Shinyanga kufanya ufuatiliaji wa maagizo ambayo alikwishakuyatoa. Waziri Mkuu alishafanya vikao vitatu na wadau mbalimbali wa zao hilo. Alichukua uamuzi huo baada ya kubaini kuwa watendaji wa mfuko huo hawajatekeleza ...

Read More »

MTWARA WASIMAMISHA MNADA WA KOROSHO

Chama kikuu cha Ushirika Cha Masasi,Mtwara Cooperative Union(MAMCU) kimelazimika Kusimamisha Minada ya zao la Korosho Iliyokuwa Ikifanyika kila Ijumaa kwa Kipindi cha Wiki Mbili kutokana na Wakulima Kukusanya Korosho ambazo hazijakauka hali inayoathiri Soko hilo. Kaimu Meneja wa MAMCU Potency Rwiza anasema Kupungua kwa mzigo katika Maghala yanayosimamiwa na Chama chake pamoja na kuwapo kwa Korosho ambazo hazijakauka kunaisababisha Korosho ...

Read More »

Hifadhi Duni Yasababisha Kahawa Kutonunuliwa Mnadani

Vyama vya msingi vya ushirika mkoani Kilimanjaro vinavyotumia kiwanda cha kukoboa kahawa cha Tanganyika (TCCCo), vipo katika wakati mgumu baada ya kahawa yao kutonunuliwa kwenye mnada unaoendeshwa na Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB). Kususiwa kwa kahawa hiyo, kunaweza kusababisha vyama hivyo kukabiliana na changamoto kadhaa ikiwamo kushindwa kurejesha  mikopo kutoka Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL). KCBL imekuwa ikivikopesha vyama hivyo kupitia ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons