Uchumi

Nyerere: Huwezi Kuwadanganya Wote

“Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani na baadhi ya watu wakati wote, ila hauwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote.” Haya ni maneno yaliyojaa hekima yaliyotolewa na Baba wa Taifa na Rais wa Awamu ya Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Alifariki dunia Oktoba 14, 1999 jijini London, Uingereza. Dunia haiwezi kumsahau kwa kusimamia haki, amani na kupambana na ...

Read More »

Familia Yadai ‘Kutapeliwa’ Nyumba Kinondoni

Familia ya Mohamed Msabaha (95) ya jijini Dar es Salaam inadai `kutapeliwa’ nyumba ya mzazi wao huyo kwa madai kuwa mnunuzi alimlaghai, hivyo wameiomba Serikali iwasaidie kuirejesha. Nyumba hiyo inadaiwa kununuliwa na mtu anayetajwa majina ya Hussein Mkufya, kwa makubaliano na Msabaha ambaye kwa sasa anaishi wilayani Korogwe mkoa wa Tanga. Msemaji wa familia hiyo, Hadija Msabaha (58) ameiambia JAMHURI ...

Read More »

Kweli Afrika Kusini wamesahau fadhila?

Moja ya habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili katika toleo lililopita ilihusu tamko la Mfalme wa Kwa Zulu Natal, Goodwill Zwelethini, aliyechanganya mambo.   Mfalme Zwelethini anatajwa kuwa nyuma ya vurugu zilizotikisa Afrika Kusini wiki kadhaa zilizopita, ambako aliwaambia wananchi, “Wageni (xenophobia) ni lazima waondoke Afrika Kusini.”   Japo kuna wakati alibadili kauli yake baada ya bila shaka alipokutana na kikwazo ...

Read More »

Tusipuuze taarifa hizi

Katika moja ya habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili ni taarifa za tishio la ugaidi zinazotolewa na moja ya makundi ya kigaidi linalojihusisha ushambuliaji. Wiki mbili zilizopita, magaidi wa al-Shabaab walifanya shambulio kubwa la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garisa, mpakani mwa Kenya na Somalia. Watu 148 waliuawa katika shambulio hilo. Kadhalika, hivi karibuni kikundi cha kigaidi cha Boko Haram cha ...

Read More »

Wanaowalinda wageni haramu wachukuliwe hatua

Katika gazeti letu la JAMHURI toleo la wiki iliyopita, tulichapisha habari ya uchunguzi iliyokuwa ikimhusu raia wa Pakistan, Ajaz Ahmed, mfanyabiashara haramu ya kuuza binadamu aliyefukuzwa nchini na kurejea tena kwa jeuri akiendelea na biashara hiyo. Ahmed alifukuzwa nchini Oktoba 29, 2014 kwa kupewa amri ya PI (Prohibited Immigrant) na Idara ya Uhamiaji nchini, huku akiondolewa kwa ulinzi mkali na ...

Read More »

Serikali isikilize kilio cha Waislamu

Septemba 23, mwaka huu Baraza la Wakuu wa Shule za Kiislamu Tanzania wamemwandikia barua Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa kupinga utaratibu mpya wa mitihani na upangaji madaraja kuhusu masomo ya dini ya Kiislamu, kompyuta, lugha za Kiarabu, Bible Knowledge na Kifaransa. Masomo haya sasa yamegeuzwa ya hiari.

Read More »

CAG awahishe ukaguzi Bukoba

Katika toleo la leo tumechapisha habari za mgogoro unaoendelea kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba. Mgogoro huu ni mkubwa kwa kiwango ambacho wananchi, watendaji, viongozi, wafanyabiashara na hata wanasiasa wamefika mahala hawaaminiani. Kila kona ya Bukoba kuna mazungumzo kwenye makundi.

Read More »

Tanzania inapotea njia

Mwishoni mwa wiki zimetokea habari za kusikitisha. Mmiliki wa Kampuni ya Home Shopping Centre, Said Mohamed Saad, amemwagiwa tindikali usoni na sasa amepelekwa kwenye matibabu nchini Afrika Kusini.

Read More »

Saruji kutoka nje ya nchi isizuiliwe

Wiki iliyopita baadhi ya wamiliki wa viwanda vya kuzalisha saruji wamekaririwa na vyombo vya habari wakidai kuwa wanataka saruji kutoka nje ya nchi izuiliwe kuingia hapa nchini. Wanajenga hoja kuwa saruji kutoka nje itaua viwanda vya ndani.

Read More »

Ardhi itumike kuwawezesha Watanzania

Toleo la leo ni toleo maalum la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Bajeti ya wizara hii imeeleza mipango mingi mizuri yenye lengo la kutatua migogoro ya ardhi nchini na kuwapa Watanzania haki ya kumiliki ardhi.

Read More »

Tuondokane na bima za magari

Kwa wiki nzima sasa kuna mjadala unaoendelea hapa nchini juu ya mpango wa kurekebisha viwango vya malipo ya bima ifikapo Machi mosi. Mpango huu unalenga hasa bima kubwa (premiums). Wanalenga kuweka viwango vya kati ya asilimia 3.5 hadi 9 kwa kila gari. Hawakuzungumzia suala la bima ndogo (third part).

Read More »

Upungufu wa dawa, wafadhili ni hatari

Shirika lisilo la kiserikali linalofanya kazi ya kuboresha utawala bora, uwazi na uwajibikaji katika sekta ya afya na Ukimwi, SIKIKA, wiki iliyopita limetoa taarifa yenye kushtua juu ya upatikanaji wa dawa na wagharimiaji.

Read More »

Mtwara wapewe asilimia mbili

Kwa muda wa mwezi mzima wananchi wa Mkoa wa Mtwara wapo kwenye maandamano. Maandamano haya yanaelekea kulifikisha taifa katika uvunjifu wa amani. Wananchi wanatumia nguvu, na kuna uwezekanao Serikali nayo itafika mahala itaishiwa uvumilivu itaanza kutumia nguvu. Mungu apishe mbali.

Read More »

Hongera DC, Mahakama lakini sheria mbovu

WIKI iliyopita vyombo vya habari nchini vilichapisha habari kuwa Mahakama ya Wilaya Bunda imemtia hatiani na kuamuru afungwe jela miaka mitatu mfanyabiashara mwenye asili ya Kichina, Mark Wang Wei aliyejitoa wazi kumhonga Sh 500,000 Mkuu wa Wilaya hiyo, Joshua Mirumbe.

Read More »

Mwaka mpya tuchape kazi

 

 

 

Leo ni Mwaka Mpya. Ni mwaka 2013. Tunafahamu Januari hii ni kichomi kwa familia nyingi. Iwe kwa matajiri au masikini, waajiri au waajiriwa ni mwezi wa tabu. Kodi za nyumba zinadai, ada za shule zinadai, wenye magari mengi yanaisha bima na hati za njia na hata wenye kununua viatu na nguo kwa msimu zimekwisha, wanahitaji vipya.

Read More »

Uvamizi huu unafanywa viongozi wakiwa wapi?

Kwa siku kadhaa sasa mamlaka katika Jiji la Dar es Salaam zimekuwa zikiwahamisha wachuuzi waliovamia hifadhi za barabara na kuendesha biashara. Vurugu zimeripotiwa kutokea katika baadhi ya maeneo ya Ubungo na mengine jijini humo.

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons