Serikali yaombwa kuondoa kodi ya maziwa yanayosafirishwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali imeombwa kuondoa kodi ya maziwa yanayosafirishwa kutoka nje ya nchi ili bei ya maziwa iwe shindani na kuweza kupanua soko la maziwa zaidi. Hayo yamesemwa leo jijini Arusha na Afisa mauzo kutoka kampuni ya kuagiza na kusambaza bidhaa za matumizi ya nyumbani ya Nead Distributors Ltd,Zullu Sadiq wakati akizungumza…