
Familia Yadai ‘Kutapeliwa’ Nyumba Kinondoni
Familia ya Mohamed Msabaha (95) ya jijini Dar es Salaam inadai `kutapeliwa’ nyumba ya mzazi wao huyo kwa madai kuwa mnunuzi alimlaghai, hivyo wameiomba Serikali iwasaidie kuirejesha. Nyumba hiyo inadaiwa kununuliwa na mtu anayetajwa majina ya Hussein Mkufya, kwa makubaliano na Msabaha ambaye kwa sasa anaishi wilayani Korogwe mkoa wa Tanga. Msemaji wa familia hiyo,…