Muhongo, Maswi wanatisha

  *Gharama za kuunganisha umeme zakuna wengi *Migodi yote si hiari tena kulipa kodi ya mapato *Afuta mashangingi ya bure, vigogo watakopeshwa *Mnyika, Selasini wawanyoosha wabunge wala rushwa   Wananchi wengi wameeleza kufurahishwa na msimamo wa uongozi mpya wa Wizara…
Soma zaidi...

Ewura yaokoa bilioni 170/-

*Ni baada ya kudhibiti uchakachuaji kwa kuweka vinasaba *Wabunge waliotemeshwa ulaji wanaanza harakati ivunjwe   Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeliwezesha taifa kuokoa zaidi ya Sh bilioni 170 kwa mwaka, lakini hatua hiyo imewakera baadhi…
Soma zaidi...