Rais Mwinyi afungua Hospitali ya Wilaya ya Kivunge Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi DK Hussein Ali Mwinyi  kulia akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Hospitali ya Wilaya Kivunge  Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.kushoto ni Waziri wa Afya Nassor Ahmed Mazrui.
Muonekano wa Jengo la Hospitali ya Wilaya Kivunge iliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi DK Hussein Ali Mwinyi Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi DK Hussein Ali Mwinyi kulia akisalimiana na Viongozi wa Chama na Serikali mara baada ya kuwasili Kivunge kwa ajili ya kufungua Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi DK Hussein Ali Mwinyi  kulia akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Hospitali ya Wilaya Kivunge  Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.kushoto ni Waziri wa Afya Nassor Ahmed Mazrui.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi DK Hussein Ali Mwinyi  akipatiwa Maelezo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Hospitali ya SAIFEE Tanzania Murtaza Alibhai baada ya kuifungua Hospitali ya  Wilaya Kivunge  Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

Baadhi ya Vifaa vilivyofungwa ndani ya Hospitali Wilaya Kivunge  ambayo imefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazala Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akipanda Mche wa Mti wa Muembe ikiwa ni Ishara ya kuhifadhi Mazingira katika Hafla ya Ufunguzi wa Hospitali ya  Wilaya Kivunge  Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazala Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akitilia Maji Mche wa Mti wa Muembe Baada ya kuupanda ikiwa ni Ishara ya kuhifadhi Mazingira katika Hafla ya Ufunguzi wa Hospitali ya  Wilaya Kivunge  Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

Waziri wa Afya Nassor Ahmed Mazrui akitoa hotuba ya Makaribisho katika Hafla ya Ufunguzi wa Hospitali ya  Wilaya Kivunge  Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazala Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akitoa Hotuba ya Ufunguzi wa Hospitali ya  Wilaya Kivunge  Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazala Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi mbalimbali baada ya Ufunguzi wa Hospitali ya  Wilaya Kivunge  Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.23/10/