Latest Posts
Uwekezaji kwa vijana ni msingi wa viongozi bora
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM VIJANA nchini wametakiwa kupewa mafunzo ya uongozi tangu wakiwa katika umri mdogo ili kuwaandaa kuwa viongozi wenye maadili, uwajibikaji na uwezo wa kuongoza katika nyanja mbalimbali, hatua inayolenga kuchangia utekelezaji wa Dira ya Taifa…
Serikali yatenga bil. 67.9/- kuboresha miundombinu
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imefikisha wanafunzi 37,397 katika mwaka wa masomo 2025/26, kutoka 24,494 mwaka 2021/22, sawa na ongezeko la asilimia 52.7, huku Serikali ikiwekeza Sh67.9 bilioni katika kuboresha miundombinu ya taasisi hiyo katika kipindi…
TANESCO yatunukiwa tuzo kutambua mchango wa ubunifu na maendeleo ya nishati
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekabidhiwa tuzo ya kwa kutambua mchango wa kipekee katika ubunifu na maendeleo ya sekta ya Nishati nchini ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa Shirika katika kuendeleza sekta hiyo. Tuzo hiyo imekabidhiwa kwa Shirika la…
TASAC yaingilia ujenzi wa ICD Kigamboni
*Malalamiko ya wakazi yachochea ukaguzi Kisota, mdhibiti ataka maelezo ndani ya siku saba Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeingilia kati ujenzi unaohusishwa na mpango wa kuanzisha Bandari Kavu (ICD) katika eneo…
Mume wa Rais Samia afariki dunia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kamati ya Bunge ya PIC yagusa mchanga unaohama
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji kwa Umma mwishoni mwa wiki iliyopita imetembelea eneo la hifadhi ya Ngorongoro ambapo pamoja na mambo mengine imejionea vivutio vya utalii ikiwemo mchanga unaohama ambao haupatikani popote Duniani isipokuwa Ngorongoro. Wakiongozwa…





