JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2019

CCM: CAG safi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amesema ukaguzi na udhibiti wa ndani ya chama hicho kwa sasa ni zaidi ya kile kilichobainishwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa…

CAG apigilia msumari Tarime

Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, imesadifu kile kilichoandikwa na Gazeti la JAMHURI katika toleo namba 385 kuhusu ubadhirifu wa fedha za maendeleo katika Wilaya ya Tarime. JAMHURI katika toleo hilo liliandika…

Mikoa 3 dhaifu utoaji chanjo

Mikoa ya Katavi, Shinyanga na Tabora inaongoza nchini kwa kuwa nyuma katika kuwapatia chanjo watoto wenye umri chini ya miaka miwili. Akizungumzia hali hiyo hivi karibuni mbele ya waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa…

Mchango wa CAG Mei Mosi hii utambuliwe

Mei Mosi mwaka huu wafanyakazi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaungana na wafanyakazi wenzao kwingine duniani kuadhimisha siku ya wafanyakazi. Kwa kawaida mataifa karibu yote duniani huadhimisha siku hii kwa namna tofauti, lakini yenye baadhi ya matukio yanayoshabihiana kama…

Wasaidizi, mnamsaidia?

Nianze kwa kuwatakia heri ya Pasaka pamoja na Sikukuu ya Wafanyakazi. Wiki mbili zilizopita ambazo zimekuwa na siku za mapumziko nyingi, zimenipa nafasi ya kutafakari kuhusu namna Rais Dk. John Magufuli anavyofanya kazi zake. Wiki moja kabla ya Pasaka rais…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (12)

Katika sehemu ya saba ya makala hii nilihitimisha na aya hii: “Je, unafahamu utaratibu wa kisheria wa kusajili Jina la Biashara, gharama ya usajili, muda wa kukamilisha usajili, nyaraka zinazotakiwa, umri wa mtu anayetaka kusajili Jina la Biashara na matakwa…