Month: June 2022
Jeshi la Polisi tena
*Mwanafunzi wa Chuo Kikuu nusura afie kituoni *Adaiwa kupigwa na askari kwa zaidi ya saa nne *Ni baada ya mjomba wake kumtuhumu kumwibia zawadi ya ‘birthday’ Mwanza Na Mwandishi Wetu Miezi michache baada ya kuandikwa kwa taarifa za kifo cha…
Mkandarasi mwendokasi pasua kichwa
DODOMA Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, amelia bungeni wakati akihoji kwa nini Kampuni ya Syno Hydro inapewa zabuni za kujenga miradi mbalimbali ukiwamo wa barabara ya mwendokasi kutoka Kariakoo hadi Gongo la Mboto jijini Dar es…
Uongo wa Katibu Mkuu TALGWU
Asema ununuzi wa gari lake ulifuata taratibu wakati haukufuata DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) Taifa, Rashid Mtima, ametoa taarifa zisizo sahihi baada ya kukanusha kuhusu Sh bilioni 1.1…
Umaarufu wa Rais uiunganishe Afrika
Ndoto ya miaka mingi ya viongozi waasisi wa Umoja wa Afrika (awali OAU na sasa AU) ya kuliona bara hili likishirikiana katika kila nyanja, si kwamba tu haijatimia, bali pia haionekani kutimia katika miaka 10 au 20 ijayo. Ukweli huu…
Uchakavu waitesa Hoteli ya Bahari Beach
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hali ya hoteli ya kitalii yenye hadhi ya nyota tano inayomilikiwa na Serikali ya Libya, Bahari Beach Ledger Plaza, ni mbaya kiasi cha kuibua migogoro ya mara kwa mara kati ya uongozi na wafanyakazi….
SAMATTA, MSUVA: Kwa suala la Stars, Niger wajipange
DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Pamoja na ukame wa mabao na kusota benchi katika klabu zao washambuliaji Mbwana Samatta na Simon Msuva bado wanabeba matumaini ya Taifa Stars dhidi ya Niger katika kusaka kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya…