JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Maxime atoa siri ya kuwabana vigogo Kaitaba

Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Mexime, amesema kuwa sare ya 2-2 dhidi ya Azam na sare ya 1-1 dhidi ya Azam anahesabu kuwa kama ni ushindi kwake na amewapongeza wachezaji wake Kwa kucheza mechi mbili kubwa nyumbani na kupata…

Nchi ipo salama mikononi mwa Rais Samia’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lailah Ngozi, amewataka Watanzania kuendelea kumwamini Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa, nchi ipo kwenye mikono salama. Ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku moja…

Dulla Makabila kikaangoni BASATA

Msanii wa Singeli, Dulla Makabila ametakiwa kufika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ili kujadili wimbo wake mpya uitwao ‘Pita Huku’ ambao kwa sasa unafanya vizuri kwa kuwa na watazamaji wengi katika mtandao wa YouTube. Makabila amepata barua wito huo…

HaloPesa yazindua “Shinda Tena na Halopesa’

Na Mwandishi Wetu HALOTEL ikiwa kampuni inayosifika nchini kupitia huduma zao za kifedha za HaloPesa, inaendelea kuwahamasisha wateja wao kwa kuleta huduma za ubora na zenye ubunifu, na wakizindua kampeni ya Shida Tena na Halopesa leo. Wakiwa kampuni inayokua kwa…

Serikali hyaimarisha huduma za matibabu ya moyo

Na Salome Majaliwa- JKCI Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Dkt. Peter Kisenge amehimiza kuimarisha ushirikiano kwa wafanyakazi wa taasisi hiyo ili waendelee kutoa huduma bora za matibabu kwa wagonjwa. Dkt. Kisenge ametoa rai hiyo jana jijini…