Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, (katikati) akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi, alipokuwa akizungumza katika kikao kazi cha Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara yake kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam, leo Disemba 21, 2022. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Kaspar Mmuya.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, (kushoto) akimpa maelekezo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi, katika kikao kazi cha Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara yake kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, (katikati meza kuu) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Kaspar Mmuya, alipokuwa akizungumza katika kikao kazi cha Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara yake kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam, leo Disemba 21, 2022. Kulia ni kuu Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi, na kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camilius Wambura.