Year: 2022
Mtoto atolewa vyuma 52 tumboni,wazazi watahadharishwa
Mama wa mtoto mwenye umri wa miaka mitano ambaye alinusurika kifo baada ya kumeza vyuma 52 kutoka kwenye kifaa cha kuchezea amewatahadharisha wazazi kutambua hatari iliyomkumba mtoto. Daktari alilazimika kupasua tumbo la mtoto Jude sehemu tano ili kuondoa vyuma vilivyokua…
Radi yaua mwanafunzi,familia 16 zakosa mahali za kulala
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Njombe Mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Mgalo iliyopo mkoani Iringa Carister Haule(15),mkazi wa kijiji cha Lifua, wilayani Ludewa mkoa wa Njombe, amefariki dunia kwa kupigwa na radi wakati akifungulia mbuzi chini ya mti. Mbali ya…
Lengo la Rais Dkt.Samia kuhusu uzalishaji wa mbolea latimia
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema lengo la Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuhakikisha mbolea ya kutosha inazalishwa nchini badala ya kutegemea kuagiza nje limetimia baada ya kiwanda cha mbolea cha Itracom…
TAKUKURU yatakiwa kuitangaza mikoa iliyokithiri kwa rushwa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama,ameitaka Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) kufanya tathimini ya Rushwa katika mikoa kisha kuitangaza mikoa itakayobainika kuongoza kwa…
Rais Samia ashuhudia utiaji Saini mkataba ujenzi SGR Tabora-Kigoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassani ameshuhudia utiaji Saini mkataba wa ujenzi wa reli ya SGR kipande cha Tabora-Kigoma kati ya Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania TRC na kampuni za ubia za China Civil…