JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Coastal Union kwafukuta,wamtimua kocha wao alfajiri

Klabu ya Coastal Union ya Tanga ambayo ipo Jijini Dar es Salaam wakijiandaa kukabiliana na Yanga SC majira ya 12:15 jioni imemtimua aliyekuwa kocha wake mkuu Yusufu Chippo.  Taarifa ya klabu iliyotolewa asubuhi hii imedokeza kuwa klabu hiyo itakuwa chini…

Serikali yatoa maagizo mazito ya kuokoa Bonde la Ihefu

Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia,Iringa SERIKALI imetoa agizo la kwa viongozi wa mamlaka za maji nchini kuvunjwa kwa kuta zilizojengwa mto Ruaha bila vibali na kunufaisha baadhi ya wananchi wachache. Kauli hiyo imetolewa na kwenye Kongamano la Wahariri na Wadau wa Uhifadhi…

Mto Ruaha haujatiririsha maji kwa zaidi ya siku 130

IMEELEZWA kuwa zaidi ya siku 130 katika Mto Ruaha Mkuu hujatiririsha maji kutokana na uharibifu uliofanywa ndani ya Bonde la Ihefu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa rasilimali na Taarifa (MERISA),Habibu Mchange wakati wa Kupitia Kongamano…

Masanja:Tuwaunge mkono wanaoshiriki kutokomeza ukatili

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza amesikitishwa na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia ambavyo ni moja ya kisababishi cha watoto kuishi katika mazingira hatarishi. Akizungumza katika hafla ya kusaidia watoto…

TFS yawataka wananchi kutunza mazingira

KAMISHINA wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. DoS Santos Silayo amewata wakulima kulima na kutunza mazingira ili kuendelea kupata mvua za kutosha. Ni katika Kongamano la Wahariri na Wadau wa Uhifadhi, Mazingira na Utunzaji wa…