Year: 2022
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KENYA Mgombea mwenza pasua kichwa
MOMBASA Na Dukule Injeni Wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, mwaka huu wamepewa hadi Jumatatu ya Mei 16 wawe wameshawasilisha majina ya wagombea wenza Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC). Licha ya msururu wa…
BAADA YA UHASAMA… Mgodi waja na suluhu, maridhiano
*Waunda mfumo huru kusikiliza malalamiko ya wananchi, waathirika kujenga ‘Mwadui Mpya’ SHINYANGA Na Antony Sollo Kampuni ya Petra Diamond Limited (PDL) inayochimba almasi Mwadui, Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, imeanzisha mfumo utakaomaliza migogoro ya muda mrefu na jamii inayoizunguka. Uanzishwaji…
CWT: Makubwa yamefanywa kwa mwaka mmoja
*Kaimu Rais afurahia walimu kupandishwa madaraja, ajira mpya *Baada ya madarasa, aiomba Serikali sasa kugeukia nyumba za walimu *Katibu Mkuu: Wingi wa walimu umepunguza mzigo wa ufundishaji *Atoa wito kwa walimu akisema: Sasa twendeni tukachape kazi DODOMA Na Mwandishi Wetu…
MOI kufuta ulemavu kwa watoto wenye vichwa vikubwa, mgongo wazi
*Wawaomba wadau kuchangia Sh milioni 800 kwa mwaka kufanikisha DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) inatarajia kufuta tatizo la watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na migongo wazi kwa kuwafanyia upasuaji wa kuwawekea vipandikizi. Akizungumzia tatizo…
Hapi, Waitara wanyukana
*Hapi: Hii ni vita, mimi mtoto wa mjini wameshindwa kunizunguka *Asema kelele ni nyingi kwa kuwa ameziba mirija ya wizi *Waitara: Siogopi kifo kiwe cha risasi au sumu, Wakurya si ‘maboya’ *Asema RC hana mamlaka ya kuvunja CDC, adai amefanya…
TEMESA katikati ya dimbwi la lawama
*Wananchi wadai kuna vivuko vinaendeshwa kama mali binafsi *Abiria walazimika kumsubiri mkatisha tiketi kwanza apeleke fedha benki DAR, UKEREWE Na Waandishi Wetu Baadhi ya watumiaji wa Kivuko cha MV Ujenzi kinachotoa huduma kati ya Kisorya, Bunda na Ngoma wilayani Ukerewe,…