JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Bangala: Nusu mtu, nusu chuma

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu ‘Nusu mtu, nusu chuma’ ni jina la utani analoitwa mlinzi wa kati wa Klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Joash Onyango, ambaye ni raia wa Kenya.  Onyango amepewa jina hili kutokana na kazi…

Ummy: Sitaki kusikia kuna uhaba wa damu salama

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa  Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema hataki kusikia kuna uhaba wa damu salama na anataka kuona inapatikana muda wote. Akizungumza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, Ummy, amesema damu salama haipatikani sehemu nyingine…

Wanaoishi kinyemela nchini sasa ni wakati wa kuwabaini

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji anasema jeshi hilo linaendelea na operesheni ya kuwabaini wahamiaji haramu nchini. Anasema tayari kazi hiyo imeonyesha mafanikio makubwa kwani watu wengi walio nchini kinyume cha sheria wameshatiwa mbaroni na kufikishwa mahakamani na wengine kurejeshwa…

Maboresho ya kanuni yatachochea ukuaji wa sekta ya mawasiliano

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Katika kuboresha mazingira ya utoaji huduma za mawasiliano nchini, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imetangaza maboresho ya Kanuni za Miundombinu ya Utangazaji Dijiti na Kanuni za Leseni zinazosimamiwa na Mamlaka ya…

Sonona imegharimu maisha ya Rapa Riky Rick

DAR ES SALAAM Na Christopher Msekena na mitandao  Tasnia ya burudani Afrika Kusini bado imo katika simanzi ya kuondokewa na rapa mwenye mafanikio na mshindi wa tuzo mbalimbali, Riky Rick, aliyefariki dunia kwa kujinyonga Jumatano asubuhi ya wiki iliyopita. Riky…

Yaliyojiri mkutano wa EU, AU Ubelgiji

Na Nizar K Visram Wakuu wa nchi za Umoja wa Ulaya (EU) na Umoja wa Afrika (AU) walikutana mjini Brussels, Ubelgiji, Februari 17 na 18, mwaka huu.  Viongozi 40 wa nchi na serikali za Afrika na viongozi 27 wa Ulaya…