JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Polisi kujichunguza mauaji ni kututania

Na Deodatus Balile Kashfa kubwa imeliandama Jeshi la Polisi nchini kutokana na mauaji ya kijana mfanyabiashara Musa Hamisi (25). Kuna taarifa mbili kuwa Hamisi aliuawa baada ya kuporwa Sh milioni 33.7, ilhali wengine wakisema ameporwa Sh milioni 70. Hamisi alikuwa…

Dk. Mwinyi ataka mabadiliko

Zanzibar Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza haja kwa watendaji serikalini kubadilika na kutofanya kazi kwa mazoea ili mipango iliyopangwa na serikali itekelezeke.  Rais Dk. Mwinyi amesema hayo baada…

Zuio la picha maeneo haya si la haki

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alipoutangazia umma kufunguliwa kwa Daraja la Tanzanite, nikarejea kwenye kisa kilichotokea siku ya uzinduzi wa ujenzi wake. Siku ya uwekaji wa jiwe la msingi mwaka 2018, Rais John Magufuli, na Spika Job…

Nape ampongeza Rostam                      kulipa mafao ya wafanyakazi

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amempongeza mmiliki wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Rostam Aziz, baada ya kulipa mafao ya waliokuwa wafanyakazi wake. Pongezi za Nape kwenda kwa…

Zitto: Harakati lazima ziendelee

*Atangaza ‘Baraza Kivuli la Mawaziri’ nje ya Bunge Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na mwanasiasa maarufu nchini, Zitto Kabwe, amesema wananchi wanahitaji kupata hoja mbadala. Akizungumza na wahariri na wanachama wa Jukwaa la…

Huku Simba, kule waamuzi

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita niliamka na vitu viwili kichwani mwangu. Kwanza, niliamka na kitu kinachoitwa Simba; kisha nikaamka na kitu kinachoitwa waamuzi wa soka waliopo sasa nchini Tanzania.  Leo ninajiuliza kati ya haya mawili tuanze na…