Year: 2022
HICHILEMA… Mpinzani aliyeingia Ikulu bila kinyongo
Dar es Salaam Na Mwalimu Samson Sombi Mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa Afrika bado unaendelea kupita katika milima na mabonde tangu kurejeshwa miaka ya 1990. Demokrasia ni uhuru wenye mipaka na sheria wa serikali iliyowekwa madarakani na…
Kuna Edna, kisha makocha wetu
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Kuna mstari mwembamba umepita katika kutenganisha jina la Edna Lema na majina ya makocha wengine wa soka la wanawake nchini. Kimuonekano ni mstari mdogo. Ni mstari mdogo wenye changamoto. Ukiutazama juu juu unaweza kuuona…
Dar es Salaam nzima kuwa ya ‘mwendokasi’ ifikapo 2025/26
*Barabara ya Segerea, Tabata hadi mzunguko wa Kigogo nayo imo Dar es Salaam Na Joe Nakajumo Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DAR RAPID TRANSIT – DART) ni taasisi ya serikali chini ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali…
Maneno yametosha tuiokoe Ngorongoro
Kama ilivyotarajiwa, manabii wa vurugu za Loliondo na Ngorongoro kwa ujumla wao wamejitokeza kupaza sauti za uchonganishi wakijitahidi kuhalalisha uongo. Kwa wanaojua habari ya eneo hili hawashangai, maana kelele za ‘tunaonewa, tunapokwa ardhi yetu, tunapigwa nk’ ni filimbi nzuri sana…
Waziri Nape, ukweli kuhusu ‘vifurushi’
Bashir Yakub Ndugu yangu Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, tatizo liko hapo TCRA. Hizi kampuni za simu zinafanya biashara, hivyo zinaweza kufanya lolote zisipopata usimamizi. Tunahitaji kanuni za ‘vifurushi’, kama vifurushi, kutoka hapo TCRA ili…
Kamishna Mwakilema asisitiza umakini
ARUSHA NA MWANDISHI MAALUMU Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), William Mwakilema, ameagiza bajeti ya mwaka wa fedha wa 2022/2023 iandaliwe kwa umakini unaozingatia malengo makuu ya taifa. Kadhalika, amesisitiza uandaaji wa bajeti hiyo sharti…