Year: 2022
Majirani waomba wavamizi eneo la mjane waondolewe
Na Aziza Nangwa DAR E S SALAAM Zaidi ya wakazi 1,000 wa Kijiji cha Pugu Kinyamwezi wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia jirani yao, Frida Keysi, kuishi kwa amani baada ya eneo lake kuvamiwa mara kwa mara na watu wenye…
Mambo ya msingi yasiyozungumzwa kwenye siasa za maridhiano Afrika
KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Kumekuwa na hoja kutoka kwa wanasiasa na wadau wa siasa kuhusu kutaka maridhiano kutoka pande zote; wa upinzani na chama tawala, na hadi inaingia Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na madai hayo ya wanasiasa…
Miaka 43 ya kifo cha Mbaraka Mwinshehe
TABORA Na Moshy Kiyungi Miongoni mwa wanamuziki maarufu zaidi kuwahi kutokea nchini na kutikisa anga la muziki Afrika ni Mbaraka Mwinshehe Mwaluka. Huenda kwa sasa ameanza kusahaulika lakini ukweli ni kwamba nyimbo zake kadhaa alizotunga au kuimba miaka ya 1970…
Mkakati wa kuondoa ‘Divisheni 0’ Arusha
Arusha Na Mwandishi Wetu Halmashauri ya Jiji la Arusha imedhamiria kuinua sekta ya elimu kwa kuboresha mazingira mazuri ya kufundishia na kujifunzia ili kuondoa daraja sifuri kwa wanafunzi wa kidato cha pili na nne kwa kutenga kiasi cha fedha kutoka…
Spika ajaye
*Msekwa asema kuna waliojitokeza kutangaza majina yao *Chenge, Dk. Tulia, Dk. Kashililah watajwa kumrithi Ndugai DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Nani kurithi nafasi ya Spika wa Bunge baada ya Job Ndugai kujiuzulu Januari 6, mwaka huu, ni swali gumu…
UJANGILI Bunduki yenye ‘silencer’ yatumika
*Wataalamu wasema ni kinyume cha sheria za uwindaji wa kitalii *Al Amry adaiwa pia kukiuka haki za watoto, kuwapa silaha hatari *Kesi ya rushwa aliyobambikiwa mwandishi yapigwa tarehe ARUSHA Na Mwandishi Wetu Wakati kesi iliyofunguliwa na Taasisi ya Kuzuia na…