JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2023

Kauli ya rais yawaleta wanasiasa kutoa ya moyoni

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kutangaza rasmi kuruhusu kuanza kufanyika kwa mikutano ya vyama vya siasa nchini kuanzia leo ni cha kufufua…

Rais Samia amedhamiria kutatua kero za wanasiasa

Doyo Hassan Doyo ambaye ni katibu Mkuu wa Chama cha ‘Alliance For the Democratic Change’ (ADC), amesema kitendo cha Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuitisha mkutano na vyama vya siasa kinapaswa kupongezwa kwa kuwa kinaimarisha afya katika siasa za hapa nchini….

Rais Samia: Sasa rukhsa kufanya mikutano ya hadhara

Hatimaye kilio cha wanasiasa cha muda mrefu kimepata ufumbuzi baada ya Serikali kuruhusu kuanza kwa mikutano ya hadhara ambayo itazingatia sheria za nchi. Akizungumza na viongozi wa vyama 19 vya siasa leo Januari 3,2023, Rais Samia amesema kuwa amefurahishwa na…

Viongozi wa vyama siasa leo kujadili mwelekeo wa siasa nchini

Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wamewasilia katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuitikia mwito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan. Baadhi ya viongozi waliowasili ni pamoja na…