JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2023

Dkt.Mahera:Kuweni na Kauli nzuri kwa wagonjwa, ni kazi ya Mungu

Na Mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt. Charles Mahera amewataka wahudumu wa afya kuwa na kauli nzuri kwa wagonjwa pia amewaagiza watendaji wote katika Sekretarieti za…

Mfumo wa kupima utendaji kazi kubaini watumishi wanaokwepa majukumu

Na Mwandishi wetu,JAMHURI MEDIA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesemamfumo mpya wa kupima utendaji kazi wa watumishi wa umma utatumika kubaini mikoa na halmashauri ambazozinaongoza kukwepa jukumu la kutoa…

Kamissoko mbadala wa Tuisila Yanga

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Kocha mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Nabi aongeza jicho la uboreshaji katika kikosi cha timu hiyo kwa kuonesha kuvutiwa na mshambuliaji wa AS Real Bamako ya nchini Mali Ousmane Kamissoko. Kwa mujinu wa taarifa kutoka Yanga,…

Ihefu yazidi kujiimarisha kuelekea kombe shirikisho

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Wababe kutoka jijini Mbeya Ihefu FC ( Mbogo maji) wameeleza mipango yao kuelekea mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho Tanzania ‘ASFC’ dhidi ya Simba SC mnamo April 7, 2023 jijini Da es Salaam. Akizungumza…

Watu 35 wafariki baada ya kutumbukia kwenye kisima India

Takriban watu 35 wamefariki baada ya kutumbukia kwenye kisima walipokuwa wakisali katika hekalu moja katika jimbo la kati la India la Madhya Pradesh. Wengine 14 wameokolewa na mtu mmoja bado hajapatikana katika ajali hiyo iliyotokea katika mji wa Indore. Polisi…

Fisi ashambulia na kujeruhi watu 10 Geita

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Watu 10 wajeruhiwa na Fisi katika kijiji cha Nyamalimbe kata ya Nyamalimbe wilayani Geita mkoani Geita. Fisi huyo aliwajeruhi raia 10 muda mfupi baada ya kumuua ng’ombe mmoja kati ya ng’ombe waliokuwa wakichungwa na watoto ambao…