JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2024

Yanga watinga robo fanali kibabe

Na isri Mohamed, JamhuriMedia Klabu ya Yanga imefuzu na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwafunga CR Belouizdad mabao manne kwa Nunge. Mabao hayo manne yamefungwa na Mudathir Yahya, Kennedy Musonda, Aziz Ki na Joseph Guede. Hii…

Jumuiya ya wazazi Shinyanga mjini yateuwa kamati za kutatua kero

Na Suzy Butondo JamhuriMedia, Shinyanga Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Shinyanga mjini imeteuwa kamati ndogo ndogo ambazo zitasaidia kufanya kazi za maendeleo na kuweza kutatua changamoto mbalimbali zilizopo katika jamii ya Shinyanga mjini. Katibu wa Umoja wa wazazi wilaya ya…

Jaji Afrika Kusini afunguliwa mashtaka

Bunge la Afrika Kusini limemfungulia mashtaka mmoja wa majaji wakuu wa nchi hiyo kwa utovu wa nidhamu. Uchunguzi uligundua kuwa John Hlophe, jaji mkuu katika jimbo la Western Cape, alijaribu kushawishi majaji katika Mahakama Kuu ya nchi hiyo katika kesi…

Mataifa saba yafutiwa ada kuingia Kenya

Kenya imewasamehe walio na pasipoti kutoka nchi saba kulipa ada ya kuingia nchini humo iliyoanzishwa mwezi uliopita. Serikali ilitupilia mbali mahitaji ya viza kwa wamiliki wote wa pasipoti za kigeni. Hatua hiyo ilionekana kama jaribio la kuitangaza Kenya kama kivutio…

Mpango awataka vijana vyuo vya ufundi kutengeza ajira

Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amewataka vijana wanaosoma katika vyuo vya ufundi stadi kutumia ujuzi walioupata kutengeneza fursa ya ajira. Dk Mpango ameyasema hayo wakati akiweka Jiwe la Msingi katika chuo cha ufundi stadi kilichopo kata ya Kasera Wilaya…