Year: 2024
TARURA Karagwe yafungua Km 108 za barabara
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera imefanikisha kuongeza wigo wa mtandao wa barabara ambapo jumla ya Km 108 za barabara mpya ambazo hazikuwepo kabisa zimefunguliwa. Hayo yameelezwa na Kaimu Meneja wa TARURA Wilaya…
Rais Samia aridhishwa na kazi ya mabalozi na kuwataka kuongeza juhudi
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa masoko ya bidhaa za Tanzania, biashara, uwekezaji, utalii na tekbolojia nchini. Rais Samia ametoa pongezi…
Dk Dimwa ajivunia hazina ya wazee wa CCM
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema kitaendelea kutunza,kuthamini na kuenzi hazi na ya wazee waliohudumu kwa uadilifu mkubwa katika nafasi mbalimbali za utumishi ndani ya Chama na Serikalini kwa ujumla. Hayo ameyasema Naibu Katibu Mkuu…
Jeshi la Polisi lachunguza Vifa vya watu wawili watuhumiwa kusakwa
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya watu wawili, Japhari Mwinyimvua (40) mlinzi na Richard Nonyo (65) baba mzazi wa mtu anayedaiwa ni mganga wa kienyeji wa…
CCM yampongeza Dk. Rose Rwakatare kusaidia waathirika wa mafuriko
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Morogoro MWENYEKITI wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk. Rose Rwakatare ametoa msaada wa tani tano za mchele kwa waathirika wa mafuriko wa jimbo la Mlimba mkoani humo. Alikabidhi msaada huo leo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero,…