JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wanafunzi CBE waonyesha vipaji lukuki siku ya taaluma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinakusudia kuanzisha mafunzo ya uanagenzi kwa wanafunzi wanaosoma shahada ya masuala ya benki na fedha, metrolojia na viwango, ambayo yatawawezesha kusoma huku wakifanyakazi. Akizungumza katika siku ya…

Dk Biteko amwakilisa Rais Samia kwenye mazishi ya Mkuu wa Majeshi Kenya

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko, amewasili jioni ya tarehe 20 Aprili 2024, Jijini Nairobi, Kenya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa…

Goodwill na Sapphire yakabidhi misaada kwa waathirika wa mafuriko Rufiji, Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JanhuriMedia, Pwani KIWANDA cha marumaru cha Goodwill pamoja na kiwanda cha kutengeneza vioo cha Sapphire -Mkiu , Mkuranga Mkoa wa Pwani ,kimetoa misaada mbalimbali kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Rufiji . Kati ya misaada hiyo ni…

Nchimbi awataka wana-CCM kuacha nongwa za uchaguzi Songea

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi amewataka Wana CCM kuacha nongwa za uchaguzi bali washirikiane katika kukijenga chama na kuwaletea wananchi maendeleo. Hayo ameyasema jana kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya…

NEMC yashiriki maonyesho ya miaka 60 ya Uhuru

Na Mwandishi Wetu, JamhurMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewaonya watu wanaojenga miradi bila kupata Cheti cha Tathmini ya Mazingira EIA kwenye baraza hilo kwamba wanakabiliwa na faini ya shilingi milioni 10….

Tanzania yachaguliwa makamu wa Rais wa Tume ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani

Tanzania kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Tume ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) inayosimamia uangazi, miundombinu na mifumo ya taarifa za hali ya hewa (WMO Commission for Observation, Infrastructure…