JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari ya athari za mafuriko ya mvua Kilombero

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Kilombero Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika Wilaya ya Kilombero, Serikali imetoa wito kwa wananchi kuendelea kuchukua tahadhari za mvua hasa katika maeneo yanayotuamisha maji, ili kujikinga na athari za mvua zinazoendelea kujitokeza. Wito huo umetolewa…

Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho ya sherehe ya Mei Mosi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan,anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya kilele cha siku kuu ya wafanyakazi duniani,Mei mosi mwaka huu yatakayofanyika kitaifa mkoani Arusha . Rais wa Shirikisho la…

BoT : Elimu ya fedha itolewe kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu

Na Magrethy Katengu–Jamuhuri Media Dar es salaam Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema itahakikisha inatoa elimu ya fedha kuanzia ngazi ya elimu msingi hadi vyuo vikuu ili kisaidia kuwawezesha vijana kuwa na Uelewa na Usimamizi wa fedha hata…

Wizara ya Mipango na Uwekezaji yajivunia mafanikio ya usalama wa chakula

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ameelezea mafanikio ya miaka 60 ya Muungano kuwa Wakati Tanganyika na Zanzibar zinaungana, usalama wa chakula ulikuwa asilimia 60 huku lengo la nchi lilikuwa ni kujitosheleza kwa chakula…